Bofya programu kwa maelezo zaidi.
Msaada wako unaweza kuleta mabadiliko! Ungana nasi katika kuijenga nyumba ya Mungu.
Shiriki katika Ujenzi wa KanisaLuka 15:20. "Alipokuwa angali mbali, baba yake alimwona, akamwonea huruma akaenda mbio akamwangukia shingoni akambusu sana ..."
Vijana wangu wapendwa sana, ondoka kwa haraka. Rudi kwa Baba. Baba mwema anakusubiria, amekuandalia vazi jipya, amekuandalia pete na anafanya karamu kwa ajili yako leo. Usijikatae, usijilaumu, usijilaani na kujihukumu kana kwamba hauna nafasi tena ya kufanya lolote jema.
+255 762447496
viwawawazo@gmail.com
"ViwawaWazo ni jukwaa muhimu sana kwa vijana wa Kikatoliki linalojenga maadili na umoja.Tunawaunga mkono vijana wetu na tunahamasisha ushiriki mkubwa."
Mwenyekiti wa Wazee Parokia
"Tunafurahi kuona vijana wakiwekwa mstari wa mbele kupitia ViwawaWazo. Ni chombo cha matumaini."
Mwenyekiti WAWATA Parokia
"Uwaka tunaamini katika kuwajenga vijana kuwa viongozi wa leo na kesho. ViwawaWazo ni sehemu ya mabadiliko chanya kwa Vijana wa Kikatoliki."
Mwenyekiti Uwaka Parokia
"Ni wajibu wetu kuunga mkono vijana wetu. ViwawaWazo ni sauti yao mpya."
Mwenyekiti Walezi wa Utoto Mtakatifu Parokia