Kumwona Kijana Mkatoliki Mfanyakazi anayejimudu katika maisha yake
ya kimwili na kiroho kwa kutumia njia ya Tafakari ya Maisha.
Dhamira ni kwa:
Maadili yetu ya Msingi yanatuongoza:
VIWAWA ni chama cha kitume cha Vijana Wakatoliki Wafanyakazi ambao wanatumwa na Kanisa ili kueneza habari njema ya kwamba Yesu Kristu ndiye njia ya kweli na uzima kwa vijana wote katika maisha yao ya kila siku. Chama hichi kinawaunganisha vijana na kuwasaidia waone hali yao, kuamua juu yake katika mwanga wa injili na kuwaongoza kufanya matendo ya kubadilisha hali zao na kutengeneza ziwe nzuri zaidi kwa njia ya Tafakari ya Maisha. Parokia ya Wazo ilipandishwa hadhi kuwa Parokia kamili mwaka 2014, kutoka kuwa Kigango kilichokuwa chini ya Parokia ya Tegeta na baadae Parokia ya Mivumoni, VIWAWA wameendelea kuwa chachu ya maendeleo ya Parokia na Kanisa kwa ujumla. Chama hichi huongozwa na vijana wenyewe katika ngazi zote. Hapa chini ni kumbukumbu ya viongozi (Wenyeviti) ngazi ya Parokia wa awamu mbalimbali tokea kuwa Parokia:-
Uje Roho Mtakatifu
Askofu
Mheshimiwa James Mbatia