JIMBO LA BAGAMOYO, PAROKIA YA MT. BENEDICT ABATE - WAZO
S.L.P 16, BAGAMOYO
SIMU: +255 692 107 533 | Barua Pepe: info@wazoparish.or.tz
FOMU YA MAOMBI YA UBATIZO
Fomu Hii Ijazwe na Mzazi/Mlezi
Jina la Ubatizo:
Jina la Ukoo:
Ni Mtoto wa ngapi Kuzaliwa:
Jina la Baba wa Mtoto:
Je, Baba ni Mkatoliki?
Ndiyo
Hapana
Simu ya Baba:
Jina la Mama wa Mtoto:
Je, Mama ni Mkatoliki?
Ndiyo
Hapana
Simu ya Mama:
Tarehe ya Mtoto kuzaliwa (Tarehe/Mwezi/Mwaka):
Mahali alipozaliwa Mtoto:
Jina la Parokia:
Jina la Jumuiya:
Je, Wazazi wana Ndoa Katoliki?
Ndiyo
Hapana
Je, Wazazi wanashiriki Jumuiya?
Ndiyo
Hapana
Je, Watoto wengine wanashiriki Utoto Mtakatifu?
Ndiyo
Hapana
Je, Wazazi wamelipa Zaka?
Baba amelipa zaka?
Ndiyo
Hapana
Kadi ya Zaka Na:
Mama amelipa zaka?
Ndiyo
Hapana
Kadi ya Zaka Na:
MSIMAMIZI WA MTOTO
Jina la Msimamizi wa Mtoto:
Je, Msimamizi amelipa Zaka?
Ndiyo
Hapana
Je, Msimamizi amefunga Ndoa?
Ndiyo
Hapana
Je, Msimamizi anapokea Sakramenti?
Ndiyo
Hapana
Kadi ya Zaka Na:
JUMUIYA
Jina na Sahihi ya Mwenyekiti:
Jina na Sahihi ya Katibu:
Jina na Sahihi ya Mhazini:
Jina na Sahihi ya Makamu Katibu/Mwenyekiti:
MAONI YA WANAJUMUIYA
UAMUZI WA PADRE
Sahihi ya Padre:
"MTAKUWA MASHAHIDI WANGU KATIKA UYAHUDI NA SAMARIA YOTE"
Matendo ya Mitume 1:8
Tuma Maombi
Fomu ya Ubatizo imejazwa kikamilifu,subiri kwa dakika chache kupakua fomu. Kristu!
Pakua Fomu